Duration 2:17

BAADA YA TAKUKURU KUMSAFISHA; Livingstone Lusinde 'afoka'

899 watched
0
6
Published 16 Jul 2020

#LivingstoneLusinde #Mtera #UchaguziMkuu2020 #Dodoma #Takukuru Baada ya TAKUKURU mkoa wa Dodoma kutoa taarifa dhidi ya uchunguzi wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde maarufu kama ‘Kibajaji’ kuwa hakukua na Ushahidi wowote dhidi ya tuhuma za yeye na wenzake 20 kutojihusisha na utoaji wa rushwa, Mwenyewe amefunguka na kudai kuwa waliodhani kuwa jimbo wangelipata kirahisi sasa wanao mlima mkubwa wakupanda Zaidi ya Kilimanjaro @DailyNewsDigital

Category

Show more

Comments - 0