Duration 5:36

2021 na panda shuka nyingi kwa Tanzania.

386 watched
0
0
Published 21 Dec 2021

Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea nchini humo ni kuaga dunia kwa rais aliyekuwa madarakani hayati John Pombe Magufuli. Tanzania ilijipata katika histori-kwanza kumpoteza kiongozi aliyekuwa madarakani na pili kumpata rais wa kwanza mwanamke . Baadhi ya viongozi walizungumzia kuguswa na msiba huo huku makamau wa rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na kuendelea na kazi ya mtangulizi wake . Mwanasiasa maarufu wa upinzani Sheikh Shariff Hamad pia aliaga dunia na kuitumbukiza Tanzania katika hali ya maombolezo.Mwaka wa 2021 pia ulikuwa mgumu kwa Tanzania kama nchi nyingi za dunia kwa sababu ya kukabiliana na janga la Corona.

Category

Show more

Comments - 0