Duration 11:8

RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI - JPM

3 663 451 watched
0
10.5 K
Published 8 Oct 2019

"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 08, amewasili wilayani Nkasi mkoani Rukwa, akiendelea na ziara yake nchini ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali... Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza.. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?list ...

Category

Show more

Comments - 1495
  • @
    @szyjr31483 years ago Kama na wewe bado unafatilia hizi video za hayati raisi wetu gonga like hapa hakika tutakukumbuka sana jemedari wetu dah safiri salama baba sisi tupo njiani pia. 530
  • @
    @galeebkhan01385 years ago This is how we call it good leadership. 80
  • @
    @icetruth5 years ago I love president magufuli. It is a shame for us kenyans doing nothing for kenyans other than corruption and fighting for leadership. 33
  • @
    @user-dn2nr2gj7f4 years ago Piga like hapa ya rais dkt magufuli twende sawa. 46
  • @
    @eliasgachuna84313 years ago This man was the real deal, a true blessing to the people of tanzania. A rare jem. 39
  • @
    @peoplepeople4163 years ago Nalia machozi sana nikiwa hapa nairobi, kenya. Rip bingwa. 112
  • @
    @ibrahimmhesi9495 years ago Hatutafanya uchaguzi kwa nafasi ya rais huyu tuliye nae anatosha, kama akili yako inafanana na mimi like. 410
  • @
    @kittygirlarmy26513 years ago Tanzania will never be the same again he was good human being rest in peace. 29
  • @
    @Bigboy-nx3nc5 years ago Only if such kind of leadership existed in kenya. 74
  • @
    @jacoblusana10823 years ago Napitia izi video naskia kulia, tutakumiss sana hapa kenya tulikupenda. 121
  • @
    @wycliffeworkdone9264 years ago That' s what we call president with authority, big up mr. President. You are one of a kind. 10
  • @
    @abdulihafidhali53795 years ago Hakuna raisi kama magufuli hapa tanzania. Anae amini hili agonge like hapa. 452
  • @
    @justinegichana66935 years ago Am watching from nairobi kenya, rais magufuli is the best i can assure you, anafahamu haki za wananchi wenzake. 27
  • @
    @rodgersodhiambo18923 years ago Currently addicted to watching magufuli' s clips.
    rip magufuli.
    39
  • @
    @pascalpembamoto86113 years ago Never happen again, we have lost a man, god bless jpm. 41
  • @
    @mullamtupa91165 years ago Kama umeskia mama mwenyewe mzuri naomba like zangu apo. 253
  • @
    @saudmohammed33905 years ago Magufuli nakuvulia kofia you' re the best. 94
  • @
    @leshasky88933 years ago Dah this man had authority. He solved the problems on the sport no divergence. R. I. P magifuli. 4
  • @
    @bolyviahkwamboka93703 years ago His leadership skills will always be remembered. 4
  • @
    @abubakaromarkhan13983 years ago Indeed tanzanians lost the big fish rip kiongozi wa africa we loved you but god loved you more. 50
  • @
    @DottRoBr3 years ago I am an italian man. I studied magufuli, a politician i appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous . ...Expand 22
  • @
    @lusianasanga30103 years ago Tutakukumbuka sana wewe nimteule wa mungu. 30
  • @
    @errydeo88655 years ago Huyu mama anahaki yake mpaka afepuani, big upwote wangefukuzwa. 112
  • @
    @mirardor85213 years ago A hero, leder, is gone too soon. Rest in paradise jpm. 11
  • @
    @elizampeter59585 years ago Ninayofuraha sana ya kuja kumpa kura jpm, 2020 i' m in the way! From qatar! 22
  • @
    @annetkhakasa85713 years ago May god bless makufulu i wish one day in uganda we get a president like you in jesus name. 1
  • @
    @nahiyahamdan52813 years ago Tumemupoteza mtu muhimu sanawawanyoge, baba wa africa nzima, tunalia sana r. I. P. 52
  • @
    @nicksonmgale46995 years ago Hatari sana rais magufuli hakika wewe ndiye rais bora. 244
  • @
    @samuelahebwa11283 years ago Wow, i can' t stop going through all this database of this great man! Rest with god! 12
  • @
    @hajingangila15583 years ago Haupo tena baba yetu mwenye huruma mweke pema peponi amina. 6
  • @
    @sharon66743 years ago What a kind leader tanzania lost! Long live magufuli, messanger of justice. 2
  • @
    @lukemelyemwenga29105 years ago Gonga like hapa kama unamuelewa mheshimwa wetu@jpm, tujuane kabisaaa. 170
  • @
    @ibrahim19395 years ago This is very impressive. Our type of govt. Simple effective. 61
  • @
    @juliuskasuni74613 years ago I think the cancer of corruption bedevilling kenya can be addressed quite easily if the president adopted the magufuli style of leadership where the suspect but the current practice where there is an arrest, one is charged and then given a cosmetic bail can only exacerbate the cancer of corruption. ...Expand 9
  • @
    @ritaopiyo71633 years ago Sure tanzanians are at a loss. Dr. Magufuli really listened to the plight of the poor. Kazi ya uongozi ni msalaba kubwa and it needs a lot of patience. Rest in peace daktari. 5
  • @
    @aby211115 years ago The best i' ve ever seen. I am a tourist who came there twice have something to say. 8
  • @
    @alexsaidi39404 months ago Leadership from heaven, for poor people.
  • @
    @abdullahpongwa15375 years ago Aisee mungu akulinde na akusimamie katika uongozi.
    amiini.
    7
  • @
    @bintiiddy70435 years ago Kura yangu haikupotea ilienda sehem sahihi mungu akubarki sana rais wangu ukila unaliwa. 174
  • @
    @aiishacali74253 years ago There will never be another leader in africa like you mr president.
  • @
    @obedikyajimba10573 years ago Nikisoma comment za nyuma moyo waniuma adi machoznilikupenda, nakupenda na nitazidi kukuenz.
    rip mfalme wa africa.
    26
  • @
    @saumusaliimu30863 years ago Mtetezi wetu atatokea tena kama ww kweli wakuangalia haki za wanyonge. 28
  • @
    @malugukushaha67645 years ago Safi sana rais wetu kwa kuzidi kutenda haki, mwenyezi mungu azidi kukujalia afya njema. 113
  • @
    @adomatichristopher40523 years ago What my president has said is true. Its very bad to transfer criminals instead of them facing the law. This is exactly what happens in uganda. Officers . ...Expand 1
  • @
    @dianatukei96353 years ago I wish kenya would be lucky to have a leader such as president magufuli, continue resting in peace. You are a true human sir.
  • @
    @nadiahussein58925 years ago Allah akulinde anko magu kweli wewe ni mtetezi wa wanyonge. 33
  • @
    @13_amissi523 years ago You are the best father rest in peace dady.
  • @
    @josephkoskei4654 years ago From rwanda u guys u really have a good gorvement keep up. 13
  • @
    @tumtumkhan31155 years ago Natamani ningekuwa ni mtanzania nikapata rais mwenye imani kama magufuli. 40
  • @
    @youssoufafete57392 years ago Voil un prsident que l' afrique entire a besoins
    j' ai de l' arme au yieux. Paix a son me.
    2
  • @
    @schoolhype10315 years ago Wow. When you report your teacher to the principal and the teacher gets punished in front of you during the assembly on friday.
    great job rais!
    4
  • @
    @thulanicele78435 years ago U love u mr president.
    let him lead for the next 30 years. Tanzania oyeess. Hit like if y love the tanzanian president and his leadership philosophy.
    101
  • @
    @rkellyrkelly14242 years ago Honestly, i miss this african stateman,
  • @
    @misschagga80425 years ago Eee mungu sina cha kukulipa kwaajili ya magufuli naomba tu umpe ulinzi wa juu ya mbingu na chini ya ardhi. 127
  • @
    @jaklinifaustini42595 years ago Nimecheka asante mungu kwa kutenda haki. 35
  • @
    @frankmubiru75353 years ago A practical teacher of nationalism and patriotism - magufuli was nyerere multiplied by ten!
    magufuli, a man with a heart
    no, he was an he had to go back to his eternal home
    sooner than men wanted him to.
    he belongs to god.
    he is now with god.
    john magufuli.
    we still need aof africa" as talked about by kenya law don, prof. Lumumba
    .
    ...Expand
    1
  • @
    @munguaibarikitanzanianawat92545 years ago Rais unanifuraisha sana yako mukuu wa dunia zima fangilia rais wa nyonge. 33
  • @
    @Mooge-baban3 years ago Indeed this man was a great leader am not a tanzanian but i can proudly say i have seen one great african leader and will have a story to tell to my grandchildren . ...Expand 1
  • @
    @onesmusmwololo98593 years ago Rip king of poor, we will remember you for the rest of our life. 5
  • @
    @amrukiaisma22553 years ago From dubai, you are always hero in africa, you showed good example within few years. 1
  • @
    @robertsimba50814 years ago The heart of serving the poor. God bless you. 13
  • @
    @christophercheruiyot57555 years ago Thanks mr president for starting with your people. 22
  • @
    @yusraswalah47343 years ago Rest in peace doctor john pombe magufuli no one will replace your party.
  • @
    @saidatkhamis46335 years ago Mtetezi wa wanyonge this is a true leader honourable mr. Magufuli may u live longer. 8
  • @
    @jeanbaptistetuyishime6485 years ago Reach the people you' re responsible for. Program initiated by rwandan president paul kagame! So proud of you mr president magufuli.
  • @
    @evelynemachange53055 years ago Hakika hii ni kwa viwango vingine tumepata rais jamani ccm hoyee. 123
  • @
    @emoyammbondograndkatanga12802 years ago L' afrique ne cessera jamais de pleurer magufuli.
  • @
    @antonybarasa19792 years ago If africa can find five leaders like magufuli, i think selfishness will end, rest in peace jpm you proved why tz picked you as a president.
  • @
    @nicknakola50244 years ago Am from kenya. I like you magufuli go on to fight corruption. 5
  • @
    @selemsigala47715 years ago Waziri wa mambo yandani kawatimua mh, raisi ao asikari kuanzia ocd na jopo lake hawafai kabisa ni wahuni sana hao ni vibaka mh, raisi mwache waziri wa mambo . ...Expand 1
  • @
    @kamaukamau62333 years ago Tanzania has indeed lost a true leader in the place of president. 1
  • @
    @anawa43265 years ago Police walipe ndio watashika adabu na kula rushwa. 124
  • @
    @joyjo21153 years ago Mungu hatutaachayetu imeumiawewe wajua. 5
  • @
    @zinaibrahim70045 years ago Hongere sana rais wetu mwenyezi mungu akupe umur marefu inshallah. 44
  • @
    @saida50915 years ago Mungu akuongoze na kukusimamia kwenye kazi yako ya wito. Amein. 1
  • @
    @emmanuelbonaventura42585 years ago Dah. Jpm mungu akulinde sana. Unapiga kazi saa mzee, kila mwenye macho kaona. 25
  • @
    @mayaally25125 years ago Kuna watu wanasema tunauchaguzi 2020 kwa nafasi ya rais. Kweli? Kweli?
    ila najua watanzania wanaakili sana wanajua nn wanatka.
    10
  • @
    @elizabethmwandu69375 years ago Mungu akulinde mh rais kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge. Asante sana kwa kumsaidia huyu mama pasipo wewe haki yake ilikuwa imepotea. 5
  • @
    @peterhano87065 years ago Hongera mtukufu rais wetu ubarikiwe kwa kazi yk nzuri. 1