Duration 6:20

Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kusukuma Kwa Urahisi

29 885 watched
0
269
Published 26 Mar 2019

Matayarisho Unga Vikombe 6 au Nusu kilo na robo, Au kilo moja kasoro Mafuta Vijiko 4 1/2 vya chakula Chumvi kuanzia Vijiko 2 vya chai Tui la Nazi Vikombe 2 hadi 2 1/2 ( Unawezatumia maji au maziwa badala ya Tui la Nazi) Mafuta ya kuchomea Enjoy

Category

Show more

Comments - 25