Duration 5:35

Tambi nyembamba za maziwa with English Subtitles

1 979 watched
0
56
Published 6 Sep 2020

#vermicelli #dessert #sweetdishes 200g tambi nyembamba 1/2 kikombe sukari (125ml) au zaidi ukipenda 1/4 kikombe zabibu kavu na 1/4 kikombe lozi zilokatwa 1/2 kijiko kdgo hiliki ya unga , nusu pakti vanilla ya unga Maziwa fresh metumia kikombe cha 250ml ki1 na 65ml ki1 sawa na (1 1/4 cups) Extra Lozi na zabibu za kupamba juu

Category

Show more

Comments - 8