Duration 3:20

WAZIRI ATINGA KATIKA MRADI ULIOASISIWA HAYATI DKT. MAGUFULI.

89 watched
0
1
Published 27 Jun 2021

Serikali imedhamiria kumaliza miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt.John Magufuli huku lengo ikiwa kuiendeleza ili iweze kutumika kwa wananchi na kuleta tija katika Taifa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Uhamiaji jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya mradi huo ambao kukamilka kwake kutagharimu Shilingi Bilioni Ishirini ikiwa ni fedha za ndan

Category

Show more

Comments - 0