Duration 56:38

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Usiyoyajua kuhusu Bongo Zozo, asema yeye ni Mtanzania, apanga kwenda Hijja

66 145 watched
0
448
Published 21 Nov 2019

Ni kipindi cha tarehe 21/11/2019 tukiwa na shabiki mashuhuri wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) maarufu kwa jina la Bongo Zozo. Amefunguka mengi ikiwemo historia yake ya maisha pamoja na uhusiano wake na Tanzania licha ya kuwa yeye ni raia wa Uingereza. Ametaja maana na asili ya jina lake, huku akisisitiza kuwa yeye ni Mtanzania kwa kutaja sababu kadhaa. Amezungumzia uraia wake na wa watoto wake, ametaja jina lake la ukweli, ameeleza kuhusu taaluma yake na kazi anayofanya "Mimi ni mtaalamu wa fedha za zamani ".

Category

Show more

Comments - 108