Duration 17:23

TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY) | Zahir Gomelo

801 watched
0
21
Published 11 Jun 2021

Tatizo langu ni aibu nashindwa kukutana na kuchangamana na watu, hii imepelekea malengo yangu kuharibika.Hili ni swali ambalo nilipokea kutoka kwa dada Anna Jayden, wiki iliyopita.Na hili nilimekuwa tatizo wengi sana wanapitia (Social Anxiety) kwa maana ya kuwa na tabia ya uoga wa kukutana na watu maisha kwasababu ya kuhofia kuwajudged, kutaniwa vibaya kwa muonekana, mavazi na mambo mengi. Mtu anapitia (Bullying) -Kutaniwa, kuonewa, na hata kupigwa shuleni, kazini, chuoni hii hali inavyoendelea inamtengenezea uoga (Fear), kuongopa kuendelea kukutana na watu hata kama ni wapya maishani kwake na hofia anaweza kufanyia kitu kama ambacho ilivyokuwa zamani. Lakini sasa hakuna mafanikio bila ya watu for real, networking, au connections ni muhimu sana maishani, unahitaji kutoka huku nje kukutana na watu sahihi na wasiosahihi kufanikisha malengo yako. Kwani kukutana na watu ndo michongo, fursa, nafasi utokea.Kama unatatizo hili angalia video hii hadi mwisho karibu. 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa https://www.tubebuddy.com/Gonline ... 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Tatizolanguniaibu #Socialanxiety #kufanikiwamafanikio

Category

Show more

Comments - 4