Duration 3:30

Ritha komba _ Ndani ya kristo (Official Music Video 4k)

4 894 watched
0
110
Published 24 Apr 2020

Ndani ya Kristo - Song lyrics Mwimbaji - Ritha Komba (bridge) Umenizingira juu na chini eeh juu na chini pande zote upo juu na chini, juu na chini Verse 1 Ee Mola wangu, adui wajapojipanga pigana nami Silaha zao hazita fanikiwa, Na kwa njia saba watatawanyika Mana nimefanyika mboni ya jicho lako aniguasae mimi amekugusa wewe, Mana mimi ni uzao mteule eeh nimefanyika mtoto wa ufalume eeh Anigusae mimi amekugusa wewe mana nimefanyika mboni ya jicho lako. Chorus/kiitikio Maisha yangu yamefichwa ndani yako Baba, uhai wangu umefichwa ndani yako Kristo . Wala sita ogopa ,Aaaaeeh sitaogopa Wala sita yumbishwa, aaeeh sitayumbishwa Bridge Umenizingira juu na chini eeh juu na chini pande zote upo juu na chini ,juu na chini. Verse 2 Kutoka kuitwa mmataifaa Amenifanya mi mwanaee Amenitoa kwenye vita Katika pendo lake nakamilishwaaha There is no one will take me down No mountain, no sickness because i have Jesus in me, Mana nimefanyika mboni ya jicho lako, Anigusae mimi amekugusa wewe Wewe eeeeeh . Chorus / kiitikio Maisha yangu yamefichwa ndani yako Baba, uhai wangu umefichwa ndani yako Kristo . Wala sita ogopa ,Aaaaeeh sitaogopa Wala sita yumbishwa, aaeeh sitayumbishwa Bridge Umenizingira juu na chini eeh juu na chini pande zote upo juu na chini, juu na chini. Connect with me on: Facebook: Ritha Komba Instagram: @rithakomba Email: synyoritha@gmail.com #NdaniyaKristo #rithakomba.Channel Administered by Huru Digital Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

Category

Show more

Comments - 59