Duration 4:48

Mjane Alivyonusurika Kuchomwa Moto Kwa Tuhuma za Uchawi

1 575 watched
0
29
Published 8 Sep 2020

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Felisia Masao mwenye umri wa miaka 71 mkazi wa kijiji cha Uru Mnini katika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amenusurika kifo baada ya chumba alichokuwa akilala kudaiwa kuchomwa moto huku tuhuma za uchawi dhidi yake zikitajwa.

Category

Show more

Comments - 11