Duration 6:19

JINSI YA KUPIKA SAUSAGE ROLLS | MKATE WA SAUSAGE | HOW TO MAKE SAUSAGE ROLLS

8 317 watched
0
0
Published 9 Apr 2020

Video hii inafundusha jinsi ya kutengeneza sausage rolls ,yaani sausage ndani ya mkate. Kwanza tutatengeneza unga kwajili ya mkate,recipe nzuri sana hii kwajili ya mkate. Jaribu nyumbani kisha ucomment kama umependa vile mkate umetokea.

Category

Show more

Comments - 9