Duration 21:17

NILIMSINGIZIA AMENIBAKA, Akahukumiwa MIAKA 60 JELA MWANAFUNZI Akiri, aomba ASAMEHEWE

83 473 watched
0
442
Published 29 Jan 2021

"NILIMSINGIZIA AMENIBAKA, Akahukumiwa MIAKA 60 JELA" MWANAFUNZI Akiri, aomba ASAMEHEWE Msichana Miriamu Sanga Kutoka Siha Mkoani Kilimanjaro Amejitokeza hadharani na kumuomba Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Amsamehe Kijana Tumaini Mfinanga ambae ni Mfungwa aliyepo Gerezani baada ya kufungwa miaka thelasini kwa kosa la kumpa mbimba Miriamu alipokuwa mwanafunzi.Leo Miriamu anasema kuwa ushahidi alioutoa haukuwa wa ukweli uliosababisha Kijana Tumaini kukutwa na hatia na Kufungwa jela. Miriamu Alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilingi ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 395