Duration 9:56

Nini Aweka wazi uhusiano wake na Nay wa Mitego

140 419 watched
0
650
Published 16 Jan 2018

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa 100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Category

Show more

Comments - 141
  • @
    @raphaelluhemeja68366 years ago Yan huyu dada nimempenda so natural so beautiful hajaji edit yan hana mbwembwe zozote kama mawigi mungu akubariki mwaya usije badilisha lyf syle. 4
  • @
    @kigwisimulindwaclemo85416 years ago Sofa sisters wetu wazuri bila kujichubua, no make up, no feki kucha, no feki nywele. Sofa nimependa hio. 11
  • @
    @neemajanga88266 years ago Nini uko vizur mpz usijuchune wala manywele ya bandia achana na izo kabisa your so cute umwah. 2
  • @
    @nellymollel46726 years ago Jana likua nakusiliza kwa radio litam niwe naona but now ndo na cheki big up nay mtoto mkali xan. 4
  • @
    @estherjoshua22506 years ago Nimekupenda bure mdogo wangu upo vizuri mwaya.
  • @
    @ibumsigwa866 years ago So far
    so far
    ila uko vzr
    kingereza ungesubir kwanza umempa kaz uyo jamaa kumalizia maneno.
    3
  • @
    @nonenone49545 years ago You are the best, have a good lucky nini.
  • @
    @maryammeme26156 years ago So cute natural. Colour haya jikoroge na ww uharibu. 2
  • @
    @sashazuberyzubery78046 years ago So far wat happened. Ila nakupenda bure dadangu yan ur so mmwah ule wimbo wako wa niwedawa duh naupenda sana ila ss ubaki hvhv ucje kujichubua yan utachukizaa kha penda sana ww. Nini. 1
  • @
    @beautyibrahim84286 years ago Mrembo wa mr true boy nakupenda bure wifii.
  • @
    @thoyarashid57826 years ago So far. So far. So far nimekupenda izo ndala za kunyonya.
  • @
    @dativarutta43466 years ago Wewe n mzuri sana ka rangi kako nimekapenda sio kama wale ila uwe unaongea kiswahili maana kingereza hicho n noma.
  • @
    @farajagisbang50196 years ago So far what happened ni slogan yako au? Ila nini nakupenda wimbo wako wa nipe dawa. 3
  • @
    @emmanueldundo73716 years ago What the meaning of sofar? Cause after one word so far is appealing.
  • @
    @ndimirimanafelixnesta52046 years ago Ommy wangu long time nimekukosa ila nimerudi nikufwate 100miya.
  • @
    @mwakilongomai40206 years ago Mzuri sana, ila acha kuongea hicho kizungu bhana, utajishusha.
  • @
    @wambuwajeff16946 years ago So far. Weuwe ni msupu. So far kwa nay wa mitego umetupa mbao so far.
  • @
    @islimhassan78006 years ago Izo " so far" xax duh kudhungu.
  • @
    @Mcsceo6 years ago Too much so far nini what tha hell kwanini asitumie swahili tyu?
  • @
    @georgeshija12766 years ago Dah nimekukubali kwa kubali daxo ndo mtu aliekufanya tukujue kwenye music industry na unamheshim kwa hilo safi sana nini.
  • @
    @geofreyniyonkuru57246 years ago Watanxania ni watu wa kulaumu sasa akisema soo far sio kingeleza.
  • @
    @johndedan85726 years ago Duu, mapenzi na kazi ni sumuhaziangushi kabati hh.
  • @
    @tinaramadhan54376 years ago We ni mrembo so please usije jichubua ka wengine baki na kalang kako mpenz.
  • @
    @catherinjose61756 years ago Naomba niulize uyu dada ni mtanzania au mkenya maanaongea rugha yako acha kutuchosha watu akili.
  • @
    @nayfattykipanya8106 years ago Ommy nawe unajifunza umbeya eti ney anakifua.
  • @
    @kavukorodrigue22716 years ago J' aime infiniment cette fille. Elle est vraiment jolie. How can i get her number please!
  • @
    @aggreyandrew62496 years ago Mzuri ila sasakarangi kazuri kasura kazuri. Ila kwa ney unapotea. 10
  • @
    @neemajohn60866 years ago Kingereza kingi mpaka uma boa. Don' t be tantariser.
  • @
    @cynobaby506 years ago Ukibeba mimba tu kwisha habari ya so far. 4