Duration 2:54

MBUNGE KAINJA AFUNGA MWAKA KWA KUKABIDHI VITANDA VYA MILIONI 38 HOSPITALINI

2 667 watched
0
15
Published 26 Dec 2021

Mbunge viti maalumu Mkoa wa Tabora Jacquline Kainja amefunga kwa kukabidhi vitanda 20,neti na vifaa ya kujifungulia mama mjamzito vyenye thamani ya shilingi Milioni 38 katika hospitali ya wilaya ya Tabora inayotarajiwa kufunguliwa January 15, 2022.

Category

Show more

Comments - 3