Duration 2:15

Mfahamu mtoto wa Kizungu anayeongea Kimasai na kuishi maisha ya kimasai

268 931 watched
0
2 K
Published 4 Dec 2019

Mtoto mwenye asili ya kiswidi, Oscar Daudi ambaye mama yake ameolewa nchini Tanzania anapenda utamaduni wa kimasai na anajua kuongea kiswahili na kimasai.

Category

Show more

Comments - 215