Duration 8:23

ALIKIBA Alivyovamiwa na WAREMBO jukwaani/ Wamlilia kama WATOTO/ Walinzi waingilia kati

65 209 watched
0
1.1 K
Published 18 Dec 2021

........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com ----------------------------------------------------------------------------------- #Alikiba #OnlyOneKingTour

Category

Show more

Comments - 142
  • @
    @eddytabenkiponda42873 years ago Hakika alikiba hakuna mwingine zaidi yako .hata watumie nguvu kiac gani lkn kibaji ulipewa na mwenyezi mungu hakuna wa kupngana na mungu.mungu niawe mulinzi wako alikiba.pia serikali ikuwekee ulinzi wa lazima. 26
  • @
    @rahmambwana12043 years ago Daah hii nyimbo sijui niifananishe na wimbo gan mzur inahisia balaa 30
  • @
    @mandyuwimana77353 years ago King Kiba 4life, bi Amina jikaze apa kazi tu Mama. Tuna omba razi !!! ❤️❤️❤️🔥 27
  • @
    @williambimenyimana73603 years ago Mfalme ni mmoja ata waungane 🔥🔥team kib tuweke like hapa mwambino akome 6
  • @
    @mwanahawabakari7183 years ago Hivi mnaujua mziki mzuri nyie bas njoo huku king music 13
  • @
    @subranadja40523 years ago King kiba you are the Best artist in Africa🔥🔥🔥 17
  • @
    @suleamber8443 years ago Nawashukuru sana watu wa rock city kwa support yenu kwa kingkiba huwa naskia raha kumuon Ali kwenye hal kam hyo 13
  • @
    @kingsmusicfans14163 years ago Alikiba is the best and nobody can stop him 🔥 15
  • @
    @fatumayusuph81183 years ago Hakuna jipya kwenye hii dunia ndio maana nimetulia king kiba 💯💯🔥🔥👍 2
  • @
    @mwanahawabakari7183 years ago Watatumia ndumba lakini wapi kingi Yani Kama magufuli tu alivyokua anapendwa Basi kingi ndio hivyo 15
  • @
    @munaahmed84993 years ago Masha Allah wazawa wa Tanga hatuhitaju bodgad maan Allah mlinzi tosha na saut sasa masha Allah walah tumshukur Allah kwa wingi
    King Kiba of Africa ndio huyu sasa
    14
  • @
    @wifiroom89363 years ago Iyo ngoma sikujua ni Kali kiasi hicho yaani warembo Wana maskio mepesi eeh lazma nisake hu wimbo sai Ili nijue Nini kinachovutia warembo kw huo wimbo mi nahisi ni wimbo Bora wa mwaka 4
  • @
    @sleyumomar36373 years ago Daah hu mti hatari,, king upo vzr sana 5
  • @
    @noleikram73183 years ago Kiba kma kiba hakuna mwingine,,,, wacfoc kufanana💕💕💕💕 6
  • @
    @supertallone19023 years ago KingKiba "usilie tena, ukilia nami ntalia alafu ntashindwa ku-perfom"👑🎶🔥💙
    AliKiba Kipenz cha watu🙌👑🎶💙🔥
    7
  • @
    @rukiaiddyyahaya95063 years ago Hahahah wanawake nyinyi hamfiki mbinguni🤭🤣🤣🤣🤣 15
  • @
    @wakeshoangle83322 years ago Ali kiba ni nomareee....wangapi wamesiki irudiwe fayaaaaaaaaa king 2
  • @
    @bwxmedia54653 years ago The most updated artist of all the time 13
  • @
    @habibukilango77383 years ago Kiukweli hata me hisia naipata sjui nakumbuka wapi wallah 😭😭😭😭😭😭 4
  • @
    @sleyumomar36373 years ago Miaka yte hiyo,, huyu mtu hachuji aiisee,, king upo vzr 5
  • @
    @constantinochalle8563 years ago Utu habari ya mjini,,,hakuna kipya kwenye hii dunia 13
  • @
    @stevenezekiel56703 years ago daahh sikuwahi iwekea nyimbo hii manani ila ka hii show duu imenikosha sana 17
  • @
    @omanbarka20663 years ago Nyimbo inaniliza sana hii .nimeikalili kwa siku mbili 6
  • @
    @yisuphlimo57373 years ago Only one King👑 Ni fujo isio umiza😂😂❤️❤️🙏 4
  • @
    @lisakibamaggy60442 years ago Am the only lady who love him like crazy in this world 🌍 1
  • @
    @franklyfaustine38803 years ago Watatokea wengi ila wa kudumu miaka 18 kwenye game so rahis 2
  • @
    @simonbukuru35213 years ago Nyimbo inapenya had kwenye moyo hongera kiba 3
  • @
    @isayakatuwa94823 years ago Chiz kweli kiba eti ukilia na Mimi nitalia hahahaaaaa tisha sana 1
  • @
    @isayakatuwa94823 years ago Nani kawasikia back vocal wana hatarii sana hapo ndo mziki 1
  • @
    @johnbarakarwibunza31353 years ago Ali tena ,mzee kijana jamani, vipi kuhusu île picha na kondegang 2
  • @
    @asmakemmy32923 years ago Kweli kuuona ufalme wa mbinguni ni kazi 2
  • @
    @athumankiatu98343 years ago Kingkba utaua watu kazi kubwa mwaka huu umeupinga mwingi 1
  • @
    @yasminally10153 years ago Asallam maalequ maaishaala Ali K Allah hjelp you Ishaalla
  • @
    @mimokassim23063 years ago Nipo kitandani ni kisikiya wimbo wa utu 1