Duration 15:56

MASKINI, MAUAJI YA SALOME ARUSHA YAWATISHA WADADA WA KAZI.

59 486 watched
0
223
Published 15 Mar 2020

Tukio la mauaji ya dada wa kazi huko Arusha limewashtua zaidi wafanyakazi wa hizi kazi za nyumbani, waomba Serikali kuweka utaratibu maalum wa kuwatembelea na kujua changamoto zao wanapoingia kwenye majumba wanayokwenda kufanyia kazi. wewe una maoni gani katika kukabiliana na Ukatili kwa wadada wa kazi majumbani?

Category

Show more

Comments - 120