Duration 12:16

Dr. Chris Mauki: Dalili 6 za Penzi linaloegemea Upande Mmoja

60 120 watched
0
850
Published 15 Feb 2021

Utajuaje kama penzi lenu limeegemea upande mmoja? Utajuaje kama wewe unalemewa au mwenzako analemewa na kwamba mnaweza msifike mbali? Hizi hapa dalili 6 zitakazo kuonyesha kwamba penzi lenu limeegemea upande mmoja. Zifuatilie ili mjirekebishe.

Category

Show more

Comments - 199
  • @
    @drvidah70302 years ago Nashukuru mungu, mimi nikishaonq kuna mabadilikomaana what i know love haifundishwi popote, ni automatic thing qmbayo mungu ameweka ndani ya mtu. Hata mtoto mdogo ana upendo na mapenzi cozukishamove on wanajifanya kurudihuko. Hakuna mwanqume au mwanamke ambaye yupo bisy hakuna kitu kama hicho. No one is bisy kuliko watu wengine. ...Expand 6
  • @
    @GloryStanley4 months ago Asante sana kaka kiukweli naguswa sana na mafundisho yako mungu azidi kukubariki.
  • @
    @ValentinaSalingwa-zo4lg7 months ago Asante mtumishi kwa somo zuri mungu akubariki sana maana hili ndio ninalopitia mimi.
  • @
    @user-ku3ie5xn8z6 months ago Izo ulizotaja zote nizakwangu asante sana.
  • @
    @oliverkim67602 years ago Asante sana chris mauki najifunz mengi iwish nikuon siku moja.
  • @
    @azizakombo3762 years ago Mungu akubariki kwa masomo yako yenye ukweli ndani yake. 1
  • @
    @neemammassy80722 years ago Nimekuelewa vizur mauki ubarikiwe sana.
  • @
    @hussenalisa72113 years ago Asate sana ni mejifunza mengi kupitia kipindi chako mungu akubarik.
  • @
    @macrinycostantine56343 years ago Dalili 4 zmenigusa sn ahsante dr mauki.
  • @
    @adellaritte3558last year Thank mauki learning more nampendaa mwanaume lakinii yupo bizeee.
  • @
    @marrydamian28542 years ago Habar dr masomo yako yamenigusa sana naomba mawasaliano yako nahitaji msaada zaid.
  • @
    @hussnattwalibu22503 years ago Somo nzuri mungu akubaliki kwa kutuelimisha.
  • @
    @meryfrank52723 years ago Mm mungu atusaidie tu mana. Tunakutana na ayo mambo kwel.
  • @
    @faridansemwa18843 years ago Aya mambo, mungu atusaidie tu sio olewa.
  • @
    @AishaOman-qz7tnlast year Kweli kabisa yani umegusa moyo wangu hapo. Ila kwa sasa nime move on natafuta life yangu.
  • @
    @blaitonamani85893 years ago Asante sana dr nimejua mengi sana mana toka nimeingia kwenye uchumba na mwanamke nilie mtolea na balua na nusu ya mahali amani ya penzi imepotea niko tofauti na nilivo tarajia.
  • @
    @remigiuswilla8813 years ago Somo zuri dr. Mauki, lakini inabidi upunguze matumizi ya kiingereza ili watu wote waelewe vizuri. 1
  • @
    @veramruma44653 years ago Hasante sana doctor, hakika uliyoongea ndio ninayoyaface, it real hurts. 2
  • @
    @aash4145last year Hali hii siitaj mwanamme, bora nijikaie pekeangu.
  • @
    @onlymama2981last year Yan kama unamjua vile this life no balance at all. 1
  • @
    @otabengacannabino69823 years ago Dah ni kwel kabisa, kwahy niache nae shobo. 1
  • @
    @snakhilnassoro43223 years ago Duh! Umenena, nifanyeje ili kuokoa hli? Inaumiza sana. 4
  • @
    @josephgeorge40322 years ago Nini cha kufanya ukiwa kwenye mahusiano ya aina hii? 2
  • @
    @papricahbeauty21363 years ago Imenigusa sana aisee na dalili zote kuna mtu anazo and am leaving. 1
  • @
    @user-fg9ik2gp9j4 months ago Tanya sasa ili penzi lisiegemee upande mmko.
  • @
    @yvonneatieno13202 years ago Asante sana dr nmejifunza napenda somo lako mungu akubariki.
  • @
    @kizazijeur75182 years ago Kwel usemayo baadh ya maneno yamenitokea dr.
  • @
    @ibrahimelias573 years ago Mungu azidi kukupa maujuzi uzidi tufunza. 2
  • @
    @jeniferkalemela993 years ago Yaani cris kunywa soda kakangu, hii imenigusa sana.
  • @
    @susannaikuni85953 years ago Ahsante xna dr nlikuwa kwa mahusiano kama hilo one side relationship. 2
  • @
    @anastasiawarioba34782 years ago Ah! Bax bna ila kma unaongea v2 vya kweli kumuhusu dah!
  • @
    @salmaluhombero84663 years ago Asante sana dr umeongea ukweli kabisa babaa so sad. 5
  • @
    @eliyasanga637410 months ago Kiasi ni shingapi cha kufanyiwa cancer.
  • @
    @katushabedotto2883last year Mm nina mchumba wangu ila bado ajapata kaz yeyote pamoja na kumalizia masomo yake aliniambia anavo ishi ko mm nikawa namuonea huruma namsaidia kidogo nilicho . ...Expand 1
  • @
    @mussakaembi57063 years ago Habar dr, mimi naitaji vitabu ili niwe najisomea mara kwa mara hususani vitabu vya saikologia mbalimbali ikiwa soft copy itakuwa vizur. 3
  • @
    @umibana67593 years ago Kweli tupuu, yaani huyu kama mchawi hatarii.
  • @
    @capteinchuimchafu78943 years ago Umenikumbusha mbali sana aisee yule ex wangu wa zaman mule nashukuru baada ya kugundua nkampoteza kimya ni miaka miwili ssa nmempata mpya na ashakuwa mamtto wang tayali.
  • @
    @thomasferdinand87692 years ago God bless you dr kwa ujumbe wako mzuri nahitaji msaada wako. 1
  • @
    @janethcharles16013 years ago Dalili zote jamaa anazo hahaha mungu nisaidie dk ni kama unamuongelea yeye. 21
  • @
    @frolarafaeli79563 years ago Yani dalili ulizosema zite anazo mtuwangu hususani mawasiliano munguwangu.
  • @
    @Matlidadeus-wt5yqlast year Daa isee kweli kabsa nimesikiliz mamb meng san mtumish lakin yot ana yo na mim natamn leo kesh nimwache likn nikimweelez tuachane hatak kabsa tuachan halaf yan mi nashindwa kabsa kumuelew naomb unisaidie nifanyej dokt. ...Expand
  • @
    @nathanpius5997last year Je kama ananitafuta pale nisipo mtafuta, ananipenda?
  • @
    @bonifacengitu28992 years ago Da zote ulizo ongea sinanihusu da aise ntakufa mimi.
  • @
    @mouking-kondeboynahimana4192 years ago Yani umeniongeley mimi kbsa, na sasa amenambiy nimpe muda wa mwezi mmoja bila kuongey kuhusu mahusiano yetu.
  • @
    @furahagesta31583 years ago Niswali kama mume anasazi hiyo ya sita munawezaje kutushauri.
  • @
    @aash4145last year Sio lazma, ikiwa kama mimi ndo kipaumbele kwa salam, hainipi shida, hapol dont want love like this,
  • @
    @jacksonbenetson12013 years ago Umenenaa kaka mauki. Mimi ninae rafiki wa kike yani uyoo nimzito katka mawasilianoo kuna nambaa alikuwaa nazo ukizipiga unaambiwaa inatumikaa. Nikimwomba nyinginee mpk sasa ajanipaa.
  • @
    @christinamushi22733 years ago Siku zotee napenda kija kuwa kama wewe.
  • @
    @addo21493 years ago Mh. Hili langu ni one sidedzzz ngoja nianze kutafuta mwamvuli mwingine so painful. O! 1