Duration 1:44:10

VANILA FULL MOVIE NEW BONGO MOVIE SWAHILI FILAMU MPYA

688 233 watched
0
1.9 K
Published 5 May 2020

VANILA....Ni filamu ambayo inazungumzia maisha ya mwanadada VANILAH ambae alipitia changa moto nyingi hali iliyopelekea kutupwa porini nakusababisha tatizo la kutokuwa na kumbukumbu kwa muda mrefu VANILAH akiwa hana kumbukumbu anaanzisha mahusiano na VICTOR mara Victor anapata safari nyuma yake anarejea likizo ERICK ambae ni mdogo wake anakuta tayari VANILAH amesharudisha kumbukumbu Eric anaanzisha mahusiano na Vanilah pasipo kujua kuwa vanilah ana mahusiano na kaka yake nae Vanillah anashindwa kutambua tofauti ya Victor na Erick.Hati mae Victor anatoka safari kurejea nyumbani ghafla anamshuhudia mdogo wake Erick anafanya mapenzi na mpenzi wake Vanilah.Je kipi kitatokea

Category

Show more

Comments - 467
  • @
    @zulachama10673 years ago Wah filamu nzuri sana nimeipenda mno pongezi za dhati kwenu nyote mlousika kwa filamu hiyo. Watching from mombasa kenya. 8
  • @
    @hajirimlongwa77942 years ago Aisee safibsana mungubawndelee kuwapandisha viwango vya juu zaid. 1
  • @
    @thinkingmom11934 years ago English subtitles will be greatly appreciated. Jah bless, one love from martinique. 7
  • @
    @user-hf2pk9gc7y9 months ago Muvi nzuri nahasa kwa makulati mama anajuwa kuleya kwa mapenzi makubwa furaha yangu zaidi mshona viyatu na mkewe walipendana kupita kiyasi bilakujali kipato chao.
  • @
    @zulachama10674 years ago Mashallah mapenzi mbasharaa hapo chacha sasa vanilla na vikta kazi kwenu ndipo, kula hiyo halali yako. 2
  • @
    @rirumasoft1133 years ago Here i am rirumasoft i love sanau sana hongereni. 2
  • @
    @onesmusmwendwa39662 years ago Nzuri sana filamu hio yapendeza kweli moulana awajalie neema zake muendelee hivyo na zaidi, watching from nairobi kenya. 2
  • @
    @felixinyas50504 years ago Nakubal damu zangu kazi nzur gud mboka town. 1
  • @
    @abdinasirdaro47144 years ago Sanau nice movie nawapenda snaa fans y sanau. 1
  • @
    @neemakarisa42204 years ago Sanau wako na movie safi sana. Yaani hazichoshi kutazama. 1
  • @
    @joycekaducha58034 years ago Kuwapenda ndo kitu nayojuwag asanteni kwa kazi nzuri sahau. 1
  • @
    @emmyjessuorene65653 years ago Movie nzuri sana aise nimeipnda hongereni. 2
  • @
    @noushaddammam88053 years ago Sikuizi muvi zenu nzuri kushinda muvi za naigeria saluti kwenu. 1
  • @
    @user-dd5hq3zj8g7 months ago Kazi nzuri sana hii picha inamafunzo mazuri. 1
  • @
    @hasnajuma55672 years ago Huwa mbanikoshaga sana na video zenu naenjoy kweli yani. 1
  • @
    @othumaryemanuel2963 years ago Mama victor ni pisi kali wadau mmeonaa. 1
  • @
    @riyahemed87124 years ago Ndugu ni kufaana c kufanana udugu wenu wa dhati nyc movie.
  • @
    @jumamkongowe88704 years ago Bongemoja ya filamu salut cn kwenu sanau. 1
  • @
    @mwaijasamatta40124 years ago Sijawahi kujutia mb zangu kwa mov zote za sanau, mpo juu bg up sn, mnaweza, mov nzr sn. 3
  • @
    @mokadesniper15914 years ago Yaan hii move itabak kuw move bora ya mda wote. 3
  • @
    @upendomatinya68514 years ago Movie nzuri san, nawakubali san sanau mpo juu kiukweli, muv zenu zinafundisha sana, ma watch nikiwa iringa tz.
  • @
    @bintihassan65344 years ago Mashaallah sanau wanamafunzo mazuri snaa. 1
  • @
    @sarapaulo47183 years ago Kabla cjamaliza kutaza hii mv nmeshajuwa kuwa bubu na kaka wataoana. 1
  • @
    @agaraba4 years ago Naiangalia live kutokea new delhi india! Kazi nzuri sana. 5
  • @
    @mgenitsuma81414 years ago Movie nzuri xna kuna mlio mmoja nakupenda kweli. 1
  • @
    @minnahlove70354 years ago Nzri sana nampenda sana huyo mama akee na vikta. 3
  • @
    @agathadenis32074 years ago Noma sana mimi na mpenda mama vict na watoto wake wazur jomon. 3
  • @
    @nurafedrick3784 years ago Mama masu leo mrembo hatari mkamwana ndo doctor
    mapenzi hadi hotelini twendekaxi.
    1
  • @
    @justinbudaho79844 years ago Kweli mumecheza vizuri sana, mungu aendeleye kuwaongeza maarifa makubwa. 3
  • @
    @sitivinivalence3754 years ago Huyu mama ana rohoo nzuri kama mama yangu (mungu amraze mali pema pepono mama yangu) 6
  • @
    @lydiamuli33284 years ago Nice one! Barikiweni sana kwa mafunzo yenu.
  • @
    @joycelufunda82302 years ago Nzuri sana yan kama live vile mmefanya vizuri tena kwa hisia. 1
  • @
    @sadickmakanwah20764 years ago Sanau nangalia move yenu live aisee naomba kujiunga nanyi niendelezee kipaji changu. 2
  • @
    @nurafedrick3784 years ago Rohoo imetua sasa nilidhani victor atabaki akilia kumbe anacheka sasa ndoto yake imetimia wow huu ndoundugu kaxi zuri lkn hiyo nyimbo yachini ai. 1