Duration 15:8

Dr. Chris Mauki : Hatua saba (7) za kufuta kumbukubu mbaya zinazokutesa

29 374 watched
0
468
Published 8 Jun 2020

Wengi wetu tumepitia nyakati mbaya na zinazoumiza huko nyuma. Labda uliteswa, ulitengwa, ulinyanyaswa, ulidhulumiwa na mengine mengi. Mambo haya yote yana tabia ya kuacha alama kwenye maisha yetu, kwenye fikra zetu, na tunaendelea kuishi tukiwa na kumbukumbu mbaya sana kutokana na yale tuliyoyapitia. Najua huzipendi kumbukumbu hizi lakini zipo na zinakufuatilia. Je unatamani kuzifuta? Niruhusu nikufundishe hatua 7 za kukusaidia kuzifuta kabisa.

Category

Show more

Comments - 81