Duration 32:9

LIPULI FC 2-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS (NUSU FAINALI ASFC - )

152 270 watched
0
381
Published 6 May 2019

Mabingwa wa zamani wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Yanga SC wametupwa nje ya michuano hiyo msimu huu baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Lipuli. Yanga imeyaaga mashindano hayo katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa, mabao ya Lipuli yakifungwa na Paul Nonga dakika ya 27 na Jimmy Shoji dakika ya 39. Ushindi huo unaipeleka Lipuli fainali ambako itakutana na Azam FC kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Category

Show more

Comments - 142