Duration 6:16

RC Mtaka awatahadharisha walimu kuhusu ukopaji fedha | | Benki ya Mwalimu yaja na mkakati mpya

605 watched
0
3
Published 22 Jul 2021

Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Kufuatia hali hiyo Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameonya Walimu kutojihusisha na mikopo kabla ya kupewa elimu. Mtaka amesema kitendo cha kukopa kabla mtu hajapata elimu ya nini akifanye, kimekuwa chanzo cha wengi kuharibikiwa na kujikuta wanaishi na madeni yasiyokwisha. Mkuu huyo wa mkoa, ametoa kauli leo wakati akizindua Mpango wa Mwalimu na Ujasiriamali ambao umeratibiwa na benki ya Mwalimu (MCB) kwa lengo la kuwakopesha walimu vifaa vya kufanyia kazi, badala ya fedha

Category

Show more

Comments - 2