Duration 2:32

SIM CARD TAX: waziri aanza kutuhumu media kuikosanisha serikali na wananchi

160 watched
0
0
Published 20 Jul 2013

Asingizia media kuikosanisha serikali na wananchi katika suala la kodi ya line za simu, huku akidai wamepokea maoni na kuwa watayafanyia kazi. SWALI hapa ni je, walipitisha sheria bila kukusanya maoni kwanza? kwa ridhaa ya nani hasa? wanafanya haya kwa matakwa ya nani hasa?

Category

Show more

Comments - 0