Duration 4:18

MAKAMU WA RAIS KIJIJINI KWAO ALIPOZALIWA, MAJIRANI NYUMBA KWA NYUMBA APITA AKIWASALIMIA “SOMENI''

36 686 watched
0
127
Published 17 Jul 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Julai 17, 2021 amewatembelea na kuwasalimu wakazi wa Kijiji cha Kasumo kilichopo wilaya ya Buhigwe – Kigoma Mahali alipozaliwa. Akiwa kijijini hapo Makamu wa Rais amewahakikishia Wananchi wa eneo hilo kwamba Serikali ya Awamu ya Sita itatekeleza mambo yote yaliopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 ilioahidi katika Wilaya ya Buhigwe na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla.

Category

Show more

Comments - 57