Duration 14:26

EXCLUSIVE NA MAMA NAY WA MITEGO: NIMESIKIA NI FREEMASON / HATAKI KURUDI NYUMBANI / NITAMPIGA

516 530 watched
0
4.5 K
Published 18 Jun 2020

#MunguYupoWapi? Bongo5 TV imefanya mahojiano na Mama Nay wa Mitego ikiwa ni siku chache toka rapa huyo aachie wimbo 'Mungu Yupo Wapi?' ambao umezua gumzo mitandaoni pamoja na kwenye vituo vya redio. Mama huyo amekiri kwamba kila siku amekuwa akipewa taarifa kwamba mtoto wake ni Freemason na baada ya kuona video ya wimbo, 'Mungu Yupo Wapi?' amejikuta akiogopa zaidi.

Category

Show more

Comments - 1244