Duration 3000

NKINGA WEEK 2021: MASHINDANO YA KUVUTA KAMBA YALIKUWEPO PIA

428 watched
0
4
Published 18 Dec 2021

Kila mwaka Hospital ya Rufaa Nkinga iliyopo wilaya ya Igunga mkoani Tabora katika kijiji cha Nkinga husheherekea sikukuu ya inayoitwa 'NKINGA WIKI', na katika mwaka 2021 sherehe hiyo imefana sana kwa Hospital kurudisha fadhira kwa wananchi, kwani tangu Jumatatu Disemba 13 hadi Jumatano Disemba 15 Hospitali imekuwa ikitoa bure huduma za Kibingwa za vipimo na ushauri kwa wananchi wote waliopo mikoa ya jirani. Hospital ya Rufaa ya Nkinga ni Hospital inayofanya kazi chini ya kanisa la The Free Pentecostal Church Of Tanzania {FPCT}, ipo mkoa wa Tabora wilaya ya Igunga kata ya Nkinga nchini Tanzania.

Category

Show more

Comments - 2