Duration 13:32

BUMBULI ATOA KAULI ya UTATA Kuelekea DERBY - TUTACHUKUA KOMBE la LIGI na FA, TAR 25 MTAJUA

4 077 watched
0
13
Published 26 Jun 2021

BUMBULI ATOA KAULI ya UTATA Kuelekea DERBY - "TUTACHUKUA KOMBE la LIGI na FA, TAR 25 MTAJUA" Klabu ya soka ya Yanga kesho Juni 27, inatarajia kuwa na mkutano mkuu wa wanachama ambao wamelipia kadi za uanachama lengo likiwa ni kuelekea mabadiliko ya katiba ya Yanga. Akizungumza na Global TV katika ukumbi ambao unatarajiwa kufanyika mkutano huo, afisa habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema maandalizi yamekamilika kwa asilimia 90 asilimia 10 imebaki kwa wanachama, ambapo pia amewasisitiza wanachama kulipia kadi zao ili kuwawezesha kuingia katika mkutano huo. Kwa upande Mwingine Bumbuli amezungumzia maandalizi ya kuelekea katika mechi zao zilizobaki ikiwa mechi yao dhidi ya watani wao wa Jadi Simba lakini kuelekea mechi ya fainali FA. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 20