Duration 7:57

Jinsi ya Kung'arisha picha kwa kutumia Adobe Photoshop

38 664 watched
0
265
Published 27 Aug 2016

Video hii inakupa muongozo wa namna gani unaweza kuingarisha picha yako kwa kutumia Adobe Photoshop. Mfano kuondoa mabaka mabaka usoni, kufuta chunusi n.k Una swali au maoni Usisite kuacha ujumbe wako katika sehemu ya comments.Ukishare video hii utakuwa umenilipa kitu cha hamani zaidi Subcribe My Youtube channel. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1" /watch/QNXod8VmgEBmo -~-~~-~~~-~~-~-

Category

Show more

Comments - 40
  • @
    @witnessmallya5114last year Wao somo zuri sana, asante sana rich, ulete zaidi na zaidi.
  • @
    @barikimedia2014 years ago Ahsante kaka kwanilikuwa zero kabisa. Ila kwa sasa niko mbali kiasi.
  • @
    @Songeafinest210last year Bro naomb nisaidie jins ya kuchonga shape ya kweny adobe.
  • @
    @enoshyalex47712 years ago Iyo opshn uliyo tumea kwangu mba haipo bro au adob zina tofautian.
  • @
    @LyonWalker_7 years ago Now inabid uandae somo juu ya advance makeup and retouch deep ndg.
  • @
    @emanuelyjeremia709811 months ago Asante sana je ni nnjia gani hutumika mfano maharusi kuwavalisha mavazi ya harusi kwa kutumia photoshop kwakiwa wamepiga picha kila mmoja kivyake.
  • @
    @patrickmwakisyala48774 years ago Hyo shm pia kwangu siionii natumia cs6 hamna hyo option.
  • @
    @djmegatumbotz78926 years ago Noma me ni mmoja wa wanafunzi wako kwa hii video nimekuelewa.
  • @
    @nuwfocuspictures64167 years ago Habari kaka tunaomba maelezo kuhusu kuweka colour na kun garish a kupitia adobe premier au after effect.
  • @
    @siwemarashid19547 years ago Kaka una vip mawasiliano maana daah mala kibao nakucheki.
  • @
    @pmctvdsm11577 years ago Mimi naomba msaada wa kudizaini cover move nimependa sana uwezo wako mkubwa sana.
  • @
    @methodnishimwe60447 years ago I mean you are speaking two languages and u know that there is some people who don' t know english how they can understand u when u are not speaking swahili only?
  • @
    @methodnishimwe60447 years ago Bro why you don' t trust your native.
  • @
    @swapterkisesa54045 years ago Kaka naomba namba yako plz nicheki whatsup 0672317349.
  • @
    @zainabuyusuf77304 years ago Mkuu unaeza kutumia simupicha kwa kutumia simu?