Duration 5:30

Kwa nini unahisi dalili za mimba lakini kipimo cha mimba kinaonyesha huna mimba

120 651 watched
0
661
Published 15 Jan 2020

Kuna wanawake huwa wanaziona dalili za mimba lakini wakipima mimba kwa kutumia kipimo cha mimba (UPT), kipimo kinaonyesha negative yaani hana mimba. Kuna vitu mbalimbali vinavyoweza kusababisha kipimo cha mimba kikatoa majibu negative wakati mwanamke anahisi dalili za mimba. Video hii inaelezea kwa nini hiki kitu huwa kinatokea.

Category

Show more

Comments - 154