Duration 21:00

TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 2): Ukweli kumukhusu Sayyida Khoula (Bihole wa Bungi)

18 345 watched
0
172
Published 19 May 2020

Sayyida Khoula ni maarufu kama Bihole miongoni mwa wenyeji wa kisiwa cha Unguja, na hadithi ya maisha yake ni ya kusisimuwa sana. Leo kwenye #Gumzo, Sheikh Riadh Al Busaidi anaeleza undani wa maisha ya mwanamke huyu shujaa, jasiri na mkarimu.

Category

Show more

Comments - 31