Duration 2:35

Waziri Ummy: Shule 400 za Sekondari Wanafunzi Hawajawahi Kuona Mwalimu wa Hesabu Darasani

1 295 watched
0
2
Published 10 Jun 2021

Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu . Maelezo hayo ni baada ya Wabunge kuhoji ni lini Serikali itapeleka Walimu wa Sayansi mashuleni, akiri kuwepo kwa uhaba.

Category

Show more

Comments - 1