Duration 13:17

KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU SHILINGI TRILIONI 1.5

55 watched
0
1
Published 20 Apr 2018

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ametoa ufafanuzi bungeni Mjini Dodoma, kwa niaba ya Serikali, na kuuhakikishia Umma wa Watanzania kwamba shilingi Trilioni 1.5 zinazodaiwa kutoonekana mahali zilipo kwenye ripoti ya CAG, hazijafujwa na kwamba Serikali ya Awamu ya Tano haiwezi kamwe kufanya hivyo.

Category

Show more

Comments - 0