Duration 1:00

Droo ya saba ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa

67 watched
0
0
Published 22 Jul 2021

Droo ya saba ya kuwatafuta washindi wa Twende Mjini na M-Pesa imekamilika na tumefanikiwa kuwapata washindi sita ambao kati yao mmoja kutoka Tanga amejiondokea na bajaji huku wengine watano wamechomoka na bodaboda mpya. Endelea kutumia M-Pesa App kufanya miamala kupitia simu yako na pengine wiki ijayo, utaingia mjini. #pesanimpesa #twendemjininampesa

Category

Show more

Comments - 0