Duration 2:45

Remdesivir ni dawa peke iliyohidhinishwa kupunguza makali ya corona Marekani

6 965 watched
0
50
Published 18 May 2020

Katika Maisha ya Afya wiki hii, mwandishi wetu Mkamiti anatuletea habari mbalimbali za kiafya ikiwa pamoja na kuhidhinisha na kusambazwa kwa dawa ya kupunguza makali ya corona #remdesivir #corona #covid19 #MaishanaAfya

Category

Show more

Comments - 12