Duration 58:39

KURASA ZA MWISHO: Wikiendi ya NANI MBABE Simba v Yanga (ASFC)

1 242 watched
0
7
Published 11 Jul 2020

Kuelekea wikiendi ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ndani ya nusu fainali ya Azam Sports Federation, wahariri wana habari gani? Philp Cyprian amewaalika wahariri wa magazeti mbalimbali kutazama na kuchambua mengi ya kimichezo kuelekea mchezo huo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 4