Duration 25:22

BBC MICHEZO AFRIKA: Mieleka ilinisaidia kujikinga na magenge ya wabakaji Kinshasa- Shakira

256 watched
0
0
Published 14 Feb 2020

Wiki hii katika BBC Michezo Afrika, kutana na Shakira, dada ambaye mieleka imemsaidia kujikinga dhidi ya magenge ya wahalifu katika mitaa ya Kinshasa, na pia anawalinda wasichana wa mitaani wasinyanyaswe na magenge hayo ya wahalifu.

Category

Show more

Comments - 0