Duration 6:51

SHUHUDIA MWENYEWE, NDEGE KUBWA ZAIDI KUWAHI KUFIKA TANZANIA YATUA ZANZIBAR LEO |

63 693 watched
0
319
Published 27 Oct 2019

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid CC: Saadam Seif Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 227
  • @
    @zainabali20415 years ago Mashaallah. Allah awabarikie
    shukran ktv tz online hakika hii ni fahari yetu.
    3
  • @
    @zainababdullsadik12475 years ago Mashallah lakini airport zamani mnatuangushaa tangu enzii za mkoloni pls muangalie pia. 6
  • @
    @abdulihafidhali53795 years ago Alosikia neno atafaidika agonge like hapa chini ili twende sw. 7
  • @
    @zayyatiyussuf95665 years ago Shukran ktv tz online hakika hii ni fahari yetu. 2
  • @
    @ramygichero10165 years ago Hongreni sana wazanzibari mungu awabariki. 2
  • @
    @fahadfahmy5 years ago Waziri mahmoud boresha kiwanja mambo mazuri yatakuja tu inshaallah.
  • @
    @mwanaz31105 years ago Sio ndege kubwa haijawahi kutuwa zanzibar
    mwambieni babu ali na smz waache ujinga na wao wanunuwe zao, hawamuoni magufuli mwenzao?
    14
  • @
    @daudimsangameno83045 years ago Ndege kubwa zaidi ya abiria kwa sasa ni airbus a380, yenye uwezo wa kubeba abiria mpaka 800, na iliwahi kutua kwa dharura dar es salaam ikitokea dubai kwenda mauritius. 4
  • @
    @nasser89nasser205 years ago Ndege mashaallah kwa znz lkn aibu kwa uwanja wa ndege kua hivo na barabara hata taa hamna mnataka watalii lkn uwanja miaka ishirini haujabadilika angalau utengezeni na barabara na taa za njiani iwe znz km dubai. 4
  • @
    @karyori695 years ago Ina maana mwandishi hakuwa na habari a380 ilipotua bara?
  • @
    @nadrikhamis13995 years ago Insha' allah tutayaona maendelea kwa jamii. 2
  • @
    @salehseif95605 years ago Alafu mapato ya utalii wa zanzibar yanakwenda wapi maana zanzibar kila siku inazidi kufa. 14
  • @
    @AbdillahSOthman5 years ago Nunueni zakwenu mpate kuleta ufanisi wenyewe na mapato mupate mengi, visiwa ni utajiri mtupu uliopo lkn uchumi umekaliwa na wachache. Fikirieni na vizaz . ...Expand
  • @
    @jannatferdaus72515 years ago Mheshmiwa unatuahid kufanya kitu gani cha kuleta maendeleo znz kupitia hilo unalolisifia?
  • @
    @user-ys6zi7vk8v3 months ago British airways jumbo jet ilikuwa inakuja tanzania miaka ya 90s na early 20. Kipindi hicho tunapanda kule juu pale dar. Huyu mtangazaji atakuwa amekuja mjini juzi.
  • @
    @humuodkindi49264 years ago Ishawahi kutua 747 zamani hii so mara ya kwanza including ndege serikali ya oman alikuja nayo malkia wa nyuki. Nsege kubwa kuliko hiyo ni boeing 7 nayo inatua znz kila mara from ethiopian airlines, na airbus 380.
  • @
    @jumayaasin50565 years ago We have to plan for bigger idea, i was thinking we have landed our own plane. 2
  • @
    @jumatarabeni97535 years ago 747 alikuja nayo mfalme was morocco na watatiano walashawahi kuja na hii no ya tatu 747. 1
  • @
    @yahasalel-sheibany54035 years ago Loool!
    how comes ndege imejaa wat 525 half kwa mwez upat wat 4500-50 muheshimiwa waziri kwa mwez ni wagen 2100 kupitia company hio, hap una id="hidden6" apply multiplication t.
    525 x 4=2100 labd mpk march zikiongezeka mara tatu ndo utapat wagen hao
    . ...Expand
  • @
    @hajihaji63515 years ago Malizeni uwanja ni aibu sana mana ukikaa unasubur upande ndege joto kali hamna hata a/c. 3
  • @
    @bodeamaimbo41805 years ago Acha uongo mtangazaji kusema ndio ya kwanza kutumia hata bara naile ya emirates jk nyerere usipotoshe watu sema hii ya kwnza kwa airport ya visiwani zanzibar.
  • @
    @amourmtungo6235 years ago Sasa hii ndege ni ya zanzibar au ya kigeni? Lakini barabara zetu na maji au miundo mbinu inaruhusu kuwaridhisha hao wageni?
  • @
    @MAPETEE4 years ago Sio kweli pesa zoot zapelekwa
    dar huko
    zanzibar ina kufa na nannja
    km kwel gonga hapo.
    3
  • @
    @salhkasmm5584 years ago Na changing ya machafu pia kwa watoto watafaidika.
  • @
    @abubakaromari15675 years ago Mm nikusema ni yenu kumbe mushereheke ndege za watu.
  • @
    @issamohammed24585 years ago Tupeni khabari za kweli ndege haijawahi kutuwa na air tanzania ishawahi kumiliki 747 boing.
  • @
    @safianassir38435 years ago Tumefurahi kutua ndege kubwa zanzibar lkn ilikuwa kabla tutizame wapi inatuwa na wapi wanapokea wageni kiasi kikubwa na wanaondoka pia panakuwa na foleni hujui aunzie wapi
    hakika hii ni fakhari yetu.
  • @
    @bokasa51505 years ago Kt huo ni uwongo ndege aina hii zimeshatua km mara ya tatu.
  • @
    @ibrahimkhatib28995 years ago Jamani hatuoni aibuu jana2 magufuli alipokea ndege mpya ya tz sisi hata hatuelewi tupotuu jamani hayo mapato yanaenda wapi?
  • @
    @husnamohamed92454 years ago Itolewe tra ilipiwe zanzibar tu pesa zenda bara. Na hao wazungu waskiwaibia hao washajivunjia.
  • @
    @asrymohd66905 years ago Tunataka yetu zanzibar sio zawatu meli zishatosha mwacheni bakharesa. 1
  • @
    @abukingkima0925 years ago Tutangaze na tuvipende vya kwetu kwanza ili nchi yetu ikuwe kiuchumi na hasa kijamii ili serikali ipige hatua na wananchi wapate maendeleo.
  • @
    @hassanmchwakachangama8885 years ago Kubwa ushirikiano na uaminifu tu kwenye hayo mapato wa sijinufaishe wa kubwa tu.
  • @
    @adullali7755 years ago Mimi nauliza mgeni yoyote akiingia nchini akilipa viza pesa inaenda as zanzibar or tanzania? Who is.
  • @
    @zayyatiyussuf95665 years ago Mashaallah chuma simchezohalafu mtu wa kwazwa kuhojiwa anazungumza hata mate hamezi kwa fraha. Mtangazaji nimesikia hongera kwa kazi. 3
  • @
    @ruaiyatruaiyat6915 years ago Mnajisifu ndege yenu? Ndege si mnamuachia ananunua magufuli. Nyinyi anakutoeni kapa. Anaitengeza bara. Nyinyi mpoo tuu kidumu. Yeye yake yanamuendea. 10
  • @
    @micamathew64335 years ago Hiyo inaweza kutua hata hapa arusha tu. 1
  • @
    @zayyatiyussuf95665 years ago Wacha chuma kitue chini nishangae japokua kushangaa mwisho mara moja. Nimezipenda hizo kawa kofia mmevaa kwa sababu ya kuipokea ndege? 1
  • @
    @mselemhaji19695 years ago Pesa zote zitakazoingia lakini hakuna hata kimojaisipokua nikula wakubwa tu hata barabara zitashindwa kumalizwa wapuuzi ccm.
  • @
    @twilindeissa93435 years ago Upumbavu wenu kaziyenu kujisifu lakin wananchi wanakufa kwa nnjaa kazi maneno mengi.
  • @
    @oscarmtavangu30535 years ago Kwa masahihisho, airforce one ni 747, ilimleta bush halafu obama tz.
  • @
    @AliAli-xi3hu5 years ago Mtaniwia radhi haya mambo yanavyokwenda hizi taasisi zimekaa kama saccos.
  • @
    @MohdRashid-cu9qb5 years ago Imeleta nn wasenge au wenda uchi kutoka ulaya.
  • @
    @nadiyakisho21785 years ago Fanyeni mnunue ya kwenu so kusifu za watu.
  • @
    @hatimmohamed42995 years ago Nilidhania ndege yenu aah!
    halafu hata zikijaa itatusaidia nini?
    wizi tu.
    wacheni majisifu fanyeni vitendo na sio kukusanya kodi mkajenga majumba na kugawana viwanja.
  • @
    @theroots27435 years ago Sasa subirini kiboko yenu mtakavyoambiwa kutoka kwa watawala au mabwana zenu.
  • @
    @kassimomar75894 years ago Pesa halafu zenda wap njia zotee mbovu pemba mzima. 1
  • @
    @sultantany60915 years ago Nilijua nasisi tumenunua ndege kumbe imekuja kutembea.
  • @
    @abuuashyam84175 years ago Aah
    minilizani yanchi ytu kumbe yawatu,
  • @
    @fahdihasnuu90344 years ago Leten habar ambazo zitafungua akili zz watu uchumi wa watu unaanguka kila leo dah yani kweli wanahabari pia mumefilisika kimawazo pumbav.
  • @
    @ibnsoudmzee52465 years ago Lakini je hizo pesa mtakazo pata zitabaikia zanzibar au mtaendelea kuzipelaka bara. 4
  • @
    @salamakhamis72455 years ago Munafurahia na kudidimiza tamaduni zetu za kistaarabu munacho angalia nyinyi matumbo yenu tu.
  • @
    @qassimmuhammad96345 years ago Jana tumepokea yetu air tanzania dreamliner hapa bongo. 3
  • @
    @dullahamoud60374 years ago Sasa zanzibar mumiliki ndege yenu sio pesa hazionekani wageni waja tu.
  • @
    @samirahassan32124 years ago Msionyeshe ndenge tu onyesheni nahayo mapelenge wanao ua ndunguzetu kwa madawa yakukevya.
  • @
    @smithjones40995 years ago Wageni wamekuja kuchukua kisiwa cha znzibar. Acheni tamaa.
  • @
    @hamedabdallah67285 years ago Hahahaa hatari ndugu zetu wa damu wapokea ndege zao air tanzania kwa sherehe sisi twapokea air russia kwa sherehe tena itakayokaa zanzibar kwa saa id="hidden11" 1 tu inaondoka ujinga mtupu tutaishia hv kusindikiza watu kwa unafiki wa viongozi wa zanzibar. ...Expand
  • @
    @ramygichero10165 years ago Russia ni nchi nzuri sana kwa utalii jitahidi na rudini tena mkawa lete wengine.
  • @
    @fahadfahmy5 years ago Water salute yanini hiyo mvua inatosha.
  • @
    @jumailyass93085 years ago Sidhani kama inamfaifisha mzanzibar hapo.