Duration 6:29

Diamond Avunja REKODI Apewa Shule SUMBAWANGA

134 608 watched
0
854
Published 8 Dec 2018

Diamond Avunja REKODI Apewa Shule SUMBAWANGA! Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameweka jiwe la msingi katika shule ya msingi ya SAINT iliyopo katika wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa. Diamond na wasanii wenzake, wametembelea katika shule hiyo na kutoa msaada wa Mabati yatakayosaidia katika kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa shule hiyo, huku akitoa ahadi ya kumalizia mradi huo ambao zinahitajika Milioni 68 ili kuweza kukamilika kabisa. #WASAFIFESTIVAL #SUMBAWANGA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK /watch/wGU4LG4 ...

Category

Show more

Comments - 325