Duration 15:26

Mpango wa INUA JAMII kuwapa pesa wazee, walemavu na mayatima

1 822 watched
0
10
Published 15 Nov 2019

Waziri wa eba na ulinzi wa jamii balozi Ukur Yatani anazindua mpango wa shilingi bilioni 8.7chini ya mpango wa INUA JAMII ambapo wasiojiweza katika jamii, wazee, walemavu na mayatima wanafaidi malipo ya kila mwezi kutoka kwa serikali. Hii leo malipo ya mwezi wa Julai, Agosti,Septemba na Oktoba. #SemanaCitizen

Category

Show more

Comments - 5