Duration 12:3

KESI ya SABAYA: MCHUNGAJI MASHIMO ATINGA MAHAKAMANI ASEMA ni MUUMINI wake, AMTAJA MBOWE

30 043 watched
0
104
Published 27 Oct 2021

KESI ya SABAYA: MCHUNGAJI MASHIMO ATINGA MAHAKAMANI ASEMA ni MUUMINI wake, AMTAJA MBOWE... Ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake ambayo imesikilizwa na shahidi wa saba na wa nane kwa upande wa Jamuhuri wametoa ushahidi wao. Mahakamani leo alionekana Mchungaji Mashimo na alidai kuwa sabaya ni muumini wake na kudai kuwa yeye ni mtanzania na ni mtumishi wa mungu na jukumu lake ni kutetea na kuwaombea watu wenye matatizo, Lengo na madhumuni ni kumuubiria neno la mungu Alisema Mchungaji Mashimo, Pia ameleza kuwa amesha mtembelea Lengai Ole Sabaya gerezani na akitoka hapo ataenda pia kumtembelea mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe.... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 81