Duration 3:23

HUJAFA HUJAUMBIKA | Simulizi ya Abdul Shaaban aliyekatwa mikono sababu ya umeme

911 watched
0
6
Published 4 May 2021

Waswahili husema hujafa haujaumbika, msemo huu unadhihirika wazi kwa Usatadh Abdul Shaaban aliyepata ajali ya umeme na kulazimika kukatwa mikono yote miwili. Haikuwa rahisi kwake na familiya yake kuikubali taarifa ya madaktari kwamba Abdul Shaaban atalazimika kuishi bila mikono baada ya uchunguzi kubaini mikono yake iliharibika kiwango kikubwa baada ya kuunguzwa na umeme. Abdul Shaaban aliyesimulia kisa chake kwa Mwandishi wetu Mariamu Songoro, amechagua kumtumikia Mungu kwa kufanya kazi ya kuswalisha katika msikiti mmoja Chalinze mkoani Pwani anakoishi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 4