Duration 9:54

EXCLUSIVE: DIAMOND Hakunialika /Asijisahau sana

175 228 watched
0
1.3 K
Published 7 Oct 2018

#DIAMOND #BABADANGOTE EXCLUSIVE :DIAMOND Hakunialika /Asijisahau sana Baba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayeitwa Mzee Abdul Jumaa, amezungumza na Global TV na kutoa ya moyoni mwake kufuatia sakata LA kutengwa na mwanae huyo katika hafla fupi aliyoifanya Juzi Tandale ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa Misaada mbalimbali kwa wakazi wa eneo hilo kama vile, Bima za Afya kwa watu Elfu moja, pikipiki kwa vijana, mitaji ya Biashara kwa wakinamama, pamoja na Bajaj kwa Mama mlemavu. Katika hafla hiyo Diamond aliongozana na Familia yake yote ikiwa ni pamoja na Mama yake mzazi, Dada zake wote wawili yaani Esma Khan na Queen Darleen, pamoja na familia yake ya WCB, wakiwemo wasanii wake Mbosso, Lavalava na mameneja wake. Kilichowashangaza wakazi wa Tandale ni kutomuona Baba mzazi wa Mbongo Fleva huyo, hali iliyozua maswali kulikoni hayupo wakati yeye ni nguzo muhimu iliyomfanya Diamond kufika hapa alipo kwa maana ya Baba. Sasa Fuatilia Exclusive Interview hii Baba Diamond amefunguka A-Z kuhusiana na ishu hii. GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOKInstall

Category

Show more

Comments - 1269