Duration 5:14

Magoli | Azam FC 4-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League

91 231 watched
0
425
Published 23 Dec 2021

AZAM VS RUVU: Ni kipigo kikubwa zaidi kwenye ligi msimu huu wa #NBCPremierLeague kikitolewa na Azam FC kwenda kwa Ruvu shooting. Wafungaji wa magoli ya Azam ni Michael Masinda aliyejifunga, Ismail Aziz Kader, Charles Zulu na Tepsi Evans wakati goli pekee la Ruvu likifungwa na Sadat Mohamed Nanguo.

Category

Show more

Comments - 30