Duration 4:50

Misa ya Mt. Anna | Bwana Utuhurumie - Fr. G. F. Kayeta | Mass | Sauti Tamu Melodies

307 937 watched
0
1 K
Published 14 Mar 2020

Kyrie, Misa ya Mtakatifu Anna - Fr. G. F. Kayeta Missa Anna #SautiTamu #Zilipendwa Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Tazama pia nyimbo nyingine kutoka kwa channel hii kama Watumishi wake baba wangapi waliopo, Atawala Milele, Msisimko wa Sifa na Nitakutuza Mungu na nyingine za St Paul's Students Choir University of Nairobi. Kupata kusanyiko kubwa zaidi la nyimbo za kwaya Katoliki fuatilia pia Channel ya Rajo Production au Holy Trinity au Tanganyika Production upate nyimbo maarufu kama vile Mimina Neema (Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi Dar-es-Salaam) maneno matamu, Bwana Unibadili na Shusha baraka. unaweza imba vipindi vyote vya misa kwaresma, pasaka, majilio, n.k Misa ya Mt Anna ni mojawapo ya misa maarufu zinazopendwa sana Africa mashariki. Misa nyinginezo zenye umaarufu ni Misa ya Mt. Matilda, Misa Mwanampepo, Misa ya Yakobo - Fr Kayeta, Makoye, Misa Kariobangi, Misa Fadhili, Misa taita, Misa Centenery, Amecea Mass, Guadalupe, Nyundo (FAN) na Misa Upendo { Bwana Bwana, Bwana utuhurumie, Utuhurumie Kristu utuhurumie Utukufu, kwa Mungu Mbinguni, Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana) .... Waimbaji wote wametoka Chuo Kikuu cha Nairobi

Category

Show more

Comments - 233