Duration 30:28

VITUKO VYA NISHA NA MTANGAZAJI HUYU, KUNA WAKATI NIKIKUMBUKA MZEE MAJUTO NALIA NIKIFIKIRIA KUIGIZA

13 021 watched
0
123
Published 12 Sep 2020

Mahojiano na msanii Nisha Bebee Amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake ikiwemo mahusiano , kazi zake za sanaaa pamoja na Biashara zake kujua haya na mengine Angalia Full Interview Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare na ku subscribe ili kuweza kupata Update mbali mbali na Exclusive Interview za Mastaa ndani na nje Ya Tanzania Tu Follow katika ukurasa wetu wa instagram Bongo Trendy Tv na ku like facebook page Bongo Trendy Online

Category

Show more

Comments - 35