Duration 2:33

Sekta zilizofaidika na zile zilipoteza kwenye bajeti ya mwaka huu

4 597 watched
0
32
Published 11 Jun 2020

Waziri wa hazina kuu ya kitaifa leo amewasilisha bungeni makadirio ya bajeti ya shilingi trilioni 2.7 kwa mwaka wa kifedha unaoaanza julai mosi, huku akiangazia zaidi mikakati ya kupiga jeki uchumi baada ya athari za janga la corona. Hata hivyo, bajeti hiyo haikukosa waliofaidi na waliopoteza, sekta ya utengezaji bidhaa nchini ikionekana kujivunia pakubwa.

Category

Show more

Comments - 0