Duration 25:10

Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa

613 895 watched
0
1.9 K
Published 27 Feb 2017

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amepita kwenye studio ya Millard Ayo kwenye show ya OnAIR with Millard Ayo na kuongelea ishu mbalimbali ikiwemo simu aliyopigiwa na Baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete baada ya kuona ile picha aliyopiga na Edward Lowassa uwanja wa taifa Dar es salaam kwenye mechi ya Yanga vs Simba.

Category

Show more

Comments - 199