Duration 4:37

UCHAGUZI 2020/ACT-WAZALENDO YAANZA KUPITIA MAFAILI YA WATIA NIA

2 903 watched
0
28
Published 2 Aug 2020

Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeketi leo tarehe 2 Agosti, 2020 ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Mkutano Mkuu. Wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, Janeth Rithe, Naibu Katibu Muenezi wa chama hicho ameseme, miongoni mwa ajenda kuu katika kikao hicho ni kuhusu Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 5 Agosti 2020. Amesema, Mkutano Mkuu ndio utakaotumika kupata majina ya wagombea urais kwa upande wa Tanzania Bara na Zanzibar na kwamba, wagombea hao watapitishwa kutokana na sifa zao kwa chama na kwenye macho ya wapiga kura.

Category

Show more

Comments - 16