#Babutale #CCM #Morogoro
Meneja wa Diamond Plutnumz, Hamisi Taletale maarufu kwa jina la Babutale ameshinda Kura za maoni kwa kupata kura 318 katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki.
Babutale amewabwaga Naibu Waziri wa Kilimo Omar Mghumba aliyepata Kura 242, na watatu Kibena Kingo mwenye Kura 40.