Duration 9:47

Maadui Wanne (4) Kwenye Mitandao Ya Kijamii - Joel Nanauka

24 929 watched
0
607
Published 8 Feb 2019

Katika Mitandao Ya Kijamii Unaweza Pata Fursa Kubwa Sana Katika Maisha Yako Lakini Katika Mitandao Ya Kijamii Kuna Maadui Wanne (4) Wanaoweza Kuzuia Ndoto Zako : 1.Digital Overload / Information Overload - Nikua Na Taarifa Nyingi Ambazo Hazikusaidii.Suala La Msingi Sio Kuwa Na Taaarifa Nyingi Ni Kuwa Na Taarifa Sahihi. 2.Digital Depression (Msongo Wa Mawzo Kutokana Na Mitandao Ya Kijamii) 3.Digital Impression (Kujionyesha Kwa Namna Fulani / Kupenda Sana Mrejesho) 4.Digital Loneliness ( Hali Ya Upweke) Ningependa Uniandikei Katika Haya Mambo Manne (4) Ni Jambo Lipi Limekua Adui Yako? Mimi Nitakufuatilia. #SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#JoelNanauka

Category

Show more

Comments - 118